Usiku wa Jumapili hii katika ukumbi wa Dolby Theatre, Hollywood nchini Marekani zilifanyika sherehe za utoaji tuzo za 89 za Oscar. Kubwa zaidi lililoteka vichwa vya habari katika tuzo baada ya filamu ya La La Land kutangazwa kuwa filamu bora na baada ya waigizaji wa filamu hiyo kuingia jukwaani tayari kutoa hotubazao za ushindi huo mmoja wa watayarishaji wa tuzo hizo aliingia na kutangaza kuwa tuzo hiyo imetolewa kimakosa na filamu iliyoshinda ni Moonlight. Hii ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo. Best Picture Moonlight Directing Damien Chazelle, La La Land Lead Actress Emma Stone, La La Land Lead Actor Casey Affleck, Manchester by the Sea Supporting Actress Viola Davis, Fences Supporting Actor Mahershala Ali, Moonlight Animated Feature Zootopia Animated Short Film Piper Cinematography La La Land Documentary Feature O.J.: Made in America Documentary Short The White Helmets Foreign Language Film The Salesman Live Action Short Film Sing Sound Editi...