HEKAHEKA: Mtoto mchanga aliyeibwa Tegeta apatikana Makaburini Ununio

February 22 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM Heka Heka ilitokea Tegeta Kibaoni Dar es salaam ambapo Mtoto mchanga aliibwa na watu ambao hawakufaamika..Sasa Leo February 28 zikiwa zimepita siku sita mtoto huyo amepatikana makaburini.
Mtoto huyo apatikana akiwa ametelekezwa makaburini akiwa kwenye mfuko maeneo ya Ununio ambapo watu waliokitelekeza mfuko huu walikuwa ni Boda Boda na abiria aliye kuwa amebeba Mfuko huo.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza full Stori

Comments

Popular posts from this blog