VIDEO: Serikali yatangaza faini utayopigwa ukikutwa na Pombe ya Viroba.
Machi 1 2017 Serikali imeshatangaza kuwa Pombe za viroba ni marufuku kuanzia mtaani na utengenezaji viwandani ambapo baada ya hapo kwa yeyote atakayekutwa nayo aidha amebeba ama kutengeneza atakutana na sheria kali iliyotungwa.
Kuanzi march 2 2017 operation ya upekuzi kutafuta pombe hizo za Viroba ambayo itaongozwa na kamati za ulinzi na usalama za mikoa
Comments
Post a Comment