Posts
Showing posts from January, 2017
Timu anayo chezea Mtanzania Mbwana Samatta "KRC Genk" Imetolewa nusu fainali
- Get link
- X
- Other Apps
Usiku wa January 31 2017 mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea timu ya KRC Genk ya Ubelgiji , aliingia uwanjani na kuongoza safu ya ushambuliaji ya timu yake ya KRC Genk katika mchezo wa nusu fainali ya Croky Cup dhidi ya KV Oostende . Mchezo huo wa nusu fainali ulichezwa katika uwanja wa nyumbani wa KRC Genk unaojulikana kama Luminus Arena , Genk wamefungwa goli 1-0 na staa wa Zimbabwe Knowledge Musona aliyefunga goli dakika ya 8 ya mchezo, Genk pia wamepata pigo kwa mshambuliaji wao Mbwana Samatta kuumia. Samatta alicheza hadi dakika ya 24 na kushindwa kuendelea na mchezo, baada ya kuumia na nafasi yake ikachukuliwa na Jose Naranjo aliyekosa penati dakika ya 69, KRC Genk wametolewa katika michuano hiyo lakini bado taarifa zaidi za Samatta zitatolewa baada ya uchunguzi wa majeruhi ya...
Majibu ya Shilole kuhusu kurudiana na Nuh, pia Donjazzy kupost ‘chura’
- Get link
- X
- Other Apps
Kupitia XXL ya CloudsFM leo January 31 2017 Gossip cop Soudy Brown ametuletea U heard inayomhusu Shilole na ni baada ya mke wa Nuh Mziwanda aitwae Nawali kudai kwamba Nuh na Shilole wamerudiana kutokana na kuonekana kufanya kazi kwa karibu sana. Sasa leo Soudy Brown amempata Shilole kuzungumzia hilo ambapo kabla ya kumuuliza ishu ya kudaiwa kurudiana na Nuh Mziwanda, Shilole akaulizwa kama ameisikia ya Mnigeria Donjazzy kujirekodi akiimba na kucheza ‘Chura’ ya Snura, ameyajibu haya……. ‘Kawaida mbona vitu hivyo, mbona sisi tunaimba vitu vyao, mara ngapi tunapost video za nyimbo zao mbona wao hawatusupport sisi’
Rais wa Marekani Donaid Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu baada ya kupinga agizo lake
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Marekani, Donald Trump amemfuta kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Sally Yates saa chache baada ya kiongozi huyo kuwaagiza Mawakili kutotetea uamuzi wa kuwawekea vikwazo vya kuingia Marekani raia wa nchi saba zenye waislamu wengi. Sally Yates aliyeteuliwa na Rais Obama alisema kuwa alitoa agizo hilo kwa Mawakili sababu haamini kama zuio la raia kuingia Marekani ni halali. Rais Trump Ijumaa alitia saini amri inayozuia raia kutoka Somali, Sudan, Libya, Yemen, Iran, Syria na Iraq kuingia nchini Marekani ambapo zuio hilo ni la siku 90. Maandamano yamezuka maneneo mbalimbali ya Marekani huku wakipinga zuio hilo. Wanadiplomasia wamesema kuwa zuio hilo huenda likasababisha hatari zaidi kwa usalama wa Marekani. Aidha, baadhi wamehoji kwanini zuio limewekwa kwa nchi hizo saba wakati kwa miaka ya hivi karibuni hakuna raia wake aliyehusika na ugaidi nchini Marekani? Rais Trump amevikosoa vyombo vya habari vinavyopot...
Kampuni ya Gazeti la MwanaHalisi la muomba radhi rais Magufuli kwa kuandika habari ya uongo
- Get link
- X
- Other Apps
NEW audio |Baba Levo Ft. Sholo Mwamba - Kigoma Noma | Download
- Get link
- X
- Other Apps
Breaking News: Mtokeo ya Kidato cha Nne 2016 Yametoka Bofya Hapa Kuyatazama
- Get link
- X
- Other Apps
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016. Katibu Mtendaji wa barza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi 408,372 waliofanya mtihani, jumla ya wanafunzi 277,283 wamefaulu, wakiwemo wasichana 135,859 sawa na asilimia 67.06 na wavulana 141,424 sawa na asilimia 73.26. Kwa upande wa watahiniwa wa shule, Dkt Msonde amesema kuwa 244,762 sawa na asilimia 70.35 ya waliofanya matihani wamefaulu ikilinganishwa na wanafunzi 240,996 sawa na asilimia 67.91 waliofaulu mwaka 2015. Kwa upande wa ubora wa ufaulu, amesema watahiniwa wa shule wenye ufaulu mzuri wa Daraja la kwanza hadi la tatu ni 96,018 sawa na asilimia 27.60 ==>>Bofya <<HAPA> Kuyaona Matokeo ya Kidato cha Nne ==>Bofya <<HAPA> Kuyaona matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016
New audio | Dira Ft Rayvan & Black G - Nimtume Nani | Download
- Get link
- X
- Other Apps
Nuru Baby Ft Sajna Vanilla Song Najuta (Official Video) Directed By MILOS
- Get link
- X
- Other Apps
Timu ya Dar young Africans yaibuka kidedea leo katika mchuano wake dhidi ya MwaduiFc mabao 2-0
- Get link
- X
- Other Apps
NEWS ; Sudan yapinga amri ya Trump
- Get link
- X
- Other Apps
Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Sudan imemuita mwanabalozi wa Marekani mjini Khartoum kupinga hatua ya Rais Donald Trump ya kuwapiga marufuku raia wa nchi hiyo kuingia Marekani. Sudan inasema kuwa hatua hiyo ni ishara mbaya baada ya hatua nzuri za kuboresha uhusiano wa mataifa hayo mawili ikiwemo kupunguza vikwazo vya kiuchumi na ushirikiano katika vita dhidi ya Ugaidi. Marekani yaiongezea Sudan muda wa vikwazo Amri hiyo ya Trump ilitikiza mpango mzima ya wakimbizi wa Marekani baada ya kutangazwa marufuku ya siku 90 ya usafiri wa raia kutoka Somalia, Sudan, Libya, Syria, Iran, Iraq na Yemen.
PICHA |Watu 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi wa RZ mkoani Geita waokolewa wakiwa hai.
- Get link
- X
- Other Apps
BREAKING | Mabehewa ya Treni zaidi yasaba yameanguka Ruvu mkoani Pwani na kujrruhi watu watano.
- Get link
- X
- Other Apps