News | Umoja wa Afrika kwa kauli moja umeunga mkono mpango wa kujiondoa katika mahakama ya ICC ambayo mataifa mengi ya Afrika yanahisi inawalenga viongozi wa bara la Afrika pekee. Mpango huo unapendekeza mataifa ya Afrika kuimarisha mahakama zake.
Ni kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe leo Mahakama kuu kufuatia kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Sirro na ZCO Wambura kwenye sakata la tuhuma za dawa za kulevya. Mahakama kuu leo imetoa maamuzi ambayo Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu ameyasema yote kwenye hii video hapa chini. ame>
Comments
Post a Comment