BREAKING :Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine wanne kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa wamejikinga mvua ktk kibanda kilichojengwa chini ya mti kwenye kituo kikuu cha mabasi cha mjini Tukuyu wilayani Rungwe.


Comments

Popular posts from this blog