Full Video : James Tupatupa anyolewe nywele baada ya Arsenal kuchapwa bao 5-1

Moja kati ya vitu ambavyo vilichukua headlines jana kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu game ya Arsenal na Bayern Munich, kila shabiki alikuwa akiisubiri hii game kwa hamu na moja kati ya watu waliowatabiri kuwa Arsenal watashinda kwenye mchezo huu ni Mtangazaji wa Clouds TV, James Tupatupa
James Tupatupa alisema kuwa endapo Arsenal watafungwa na Bayer Munich basi anyolewe nywele zake leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Shafih Dauda, Samuel Sasali walihakikisha wanatimiza jukumu hilo la kumnyoa nywele, Tupatupa sawasawa na ahadi yake.
Comments
Post a Comment